Wednesday, May 28, 2008

KWELI TUTAFIKA???????


JAMANI JAMANI KILA MMOJA AMWAMBIE MWENZIE TUSEME,TUZUNGUMZE TUSIPOSEMA SISI NANI ATATUSEMEA MPAKA LINI HAKUNA KINACHOBADILIKA WALA CHENYE UHAFADHALI BARABARA,USAFIRI,UMEME,MAJI,MAFUTA..CHAKULA NACHO TUNATANGAZIWA KILA KUKICHA KITAPANDA SASA TUTAISHI HIVI MPAKA LINI MBONA HATA HAKUNA KINACHOTIA WALAU MOYO WAKATI TUNA KILA KITU MADINI,MALI ASILI,GAS NA HATA BANDARI INAYOTUINGIZIA MI PESA KIBAO AMBAYO WANAIITA (VIJISENTI)AMKENI JAMANI!!!!!!!!!!!

No comments: