Hali inazidi kuwa mbaya Dar es salaam Usafiri nao ni tatizo kubwa huku serikali na mamlaka husika zikiwa kimya tuliwahi kuahidiwa mabasi yaendayo kasi kama (umeme) ila mpaka leo hakuna dalili ya kasi....waathirika wakubwa ni wanafunzi kama wanavyoonekana hapo juu leo asubuhi...
No comments:
Post a Comment