Wednesday, May 28, 2008
KWELI TUTAFIKA???????
JAMANI JAMANI KILA MMOJA AMWAMBIE MWENZIE TUSEME,TUZUNGUMZE TUSIPOSEMA SISI NANI ATATUSEMEA MPAKA LINI HAKUNA KINACHOBADILIKA WALA CHENYE UHAFADHALI BARABARA,USAFIRI,UMEME,MAJI,MAFUTA..CHAKULA NACHO TUNATANGAZIWA KILA KUKICHA KITAPANDA SASA TUTAISHI HIVI MPAKA LINI MBONA HATA HAKUNA KINACHOTIA WALAU MOYO WAKATI TUNA KILA KITU MADINI,MALI ASILI,GAS NA HATA BANDARI INAYOTUINGIZIA MI PESA KIBAO AMBAYO WANAIITA (VIJISENTI)AMKENI JAMANI!!!!!!!!!!!
Tuesday, May 27, 2008
BAADA YA KIMYA CHA MUDA MREFU HATIMAYE WAMEZINDUKA KAMA INAVYOONEKANA HAPO MAFUNDI WAMEANZA KUSHUGHULIKIA TENA NA VIFAAA VIPYA.. (SEHEMU SUGU) YA BARABARA YA BANDARINI( SHIMO LA UDONGO) NGOJA TUONE NINI KITAFANYIKA WASIJE WAKAJAZA (UDONGO).
Sunday, May 25, 2008
Friday, May 23, 2008
Hali inazidi kuwa mbaya Dar es salaam Usafiri nao ni tatizo kubwa huku serikali na mamlaka husika zikiwa kimya tuliwahi kuahidiwa mabasi yaendayo kasi kama (umeme) ila mpaka leo hakuna dalili ya kasi....waathirika wakubwa ni wanafunzi kama wanavyoonekana hapo juu leo asubuhi...
Wednesday, May 21, 2008
Duh bongo kuna foleni isiyo ya kikomo sijui itakwenda hivi mpaka lini miundo mbinu ndio kwanza wanabadili Mawaziri sijui kama tutafika
Hivi Tanroads kazi yao nii kama hata kuziba mashimo madogo madogo hawawezi na hizo kodi wanazokusanya kwenye mafuta sh 1 kila lita zinakwenda wapi wadau
Hivi Tanroads kazi yao nii kama hata kuziba mashimo madogo madogo hawawezi na hizo kodi wanazokusanya kwenye mafuta sh 1 kila lita zinakwenda wapi wadau
Saturday, May 10, 2008
Wasanii machachari kutoka THT wakitumbuiza katika tamasha la kukumbuka kifo cha hayati Bob Marley(Bob Marley day) lililofanyika Coco Beach
Wednesday, May 7, 2008
MAMLAKA ZINAZOHUSIKA KUTOKUFANYA KAZI INAVYOPASA PIA UZEMBE WA BAADHI YA WATU VINAWEZA KUHATARISHA MAISHA PIA KUSABABISHA HASARA KUBWA KAMA UNAVYOONA KATIKA PICHA HAPO JUU GARILI
KIWA LIMEHARIKA NA KUSHINDA KUHIMILI UZITO WA CONTAINER SABABU YA UCHAKAVU
TUKIO LIMETOKEA MAENEO YA BANDARINI KARIBU NA GATE NO.5
KIWA LIMEHARIKA NA KUSHINDA KUHIMILI UZITO WA CONTAINER SABABU YA UCHAKAVU
TUKIO LIMETOKEA MAENEO YA BANDARINI KARIBU NA GATE NO.5
Subscribe to:
Posts (Atom)