Wednesday, August 13, 2008
KILIO CHA TAWALA BOMOA BOMOA KURASINI
Timu ya Tanesco ikiwa mbele kuondoa nyaya/nguzo/transiformer na mali nyingine za Tanesco chini ya ulinzi mkali wa Mbwa
Baadhi ya vitu vilivyo okolewa na wananchi baada wa kuvamiwa ghafla na Askari wa kikosi FFU,Police wa kawaida na Mgambo wa jiji leo Asubuhi
Ulinzi ulikuwa mkali kimno ukihusisha vikosi vya Mbwa kama inavyoonekana
Baadhi ya wananchi wakilalamika kitendo cha kuvamiwa bila ya taarifa...
Hayo ndio baadhi ya matukio yaliyojiri leo asubuhi maeneo ya Kurasini(ZAMCARGO)wakati wa zoezi la kubomoa nyumba kupisha upanuzi wa Bandari ya Dar es salaam
Sunday, July 27, 2008
HICHI NDIO KIZAZI KIPYA CHA MTANZANIA HALISI
Picha ni wadogo/watoto wetu katika majira mawili tofauti jua na mvua sasa kweli jamii yetu itegemee kizazi cha aina gani hapo mbeleni kutoka kwa watoto hawa..
Hivi hasa tatizo liko kwa Serikali ama mwananchi/raia ambaye amaamua kuwa nawatoto bila mipangilio kwa imani kila mmoja atakuja na Baraka/riziki zake nini hasa kifanyike WAZUIWE WATU KUWA NA WATOTO LUKUKIKI KAMA WENZETU WA CHINA?maaana haiana maana kuwa na watoto bora watoto..
Thursday, July 24, 2008
UZALENDO WAWASHINDA SHOPRITE
Wafanyakazi wa Shoprite (KAMATA)leo asubuhi wameshikamana kumtetea Mfanyakazi wenzao dhidi ya maamuzi ya kinevu ya Uongozi,Huku wakiimba nyimbo kuonyesha mshikamano na wengine wakiwa wamebeba mabango yenye Ujumbe.."UBADHIRIFU UNAOFANYWA NA KAMPUNI UNAMGHARIMU MFANYAKAZI WA KAWAIDA ASIYE NA HATIA MWAJIRI ARUDI KWENYWE MEZA YA MAJADILIANO"
Haikufahamika mara moja ni kitu gani kilichopelekea kufikia hatua hiyo,Kwa siku za usono kumekuwa na malalamiko kuhusiana na utendaji mzima wa Shoprite hasa kuhusiswa na Vitendo vya WIZI.
Wednesday, July 23, 2008
KIBAKA ACHOMWA MOTO LEO ASUBUHI
Kachomwa mbele ya ofisi ya mkuu wa mkoa..
Mwanaume mmoja kachomwa moto leo asubuhi majira saa moja 7:00 kwa kusadikiwa kuwa ni kibaka eneo la Ilala boma mbele ya ofisi ya Mkuu wa mkoa
Suala la Watanganyika kujichukulia Sheria mikonono kwa watuhumiwa wa Ukibaka limekuwa la kawaida sasa kwa maisha magumu ya kila siku..
Sijui tumlaumu nani... Kibaka aliyeiba/kwapua au..Mtanganyika aliyejichukulia Sheria
Thursday, July 17, 2008
UPANUZI WA BANDARI YETU YA DAR ES SALAAM
Kama inavyoonekana ubomoaji wa nyumba kwa wakazi wa maeneo yanayozunguka Bandari umekuwa wa kusuasua japokuwa tarehe ya mwisho ya kuvunja nyumbazao kwa hiyari ikiwa tayari ishapita SIJUI UPANUZI WA BANDARI UTAANZA LINI....

Thursday, July 3, 2008
HAYA NDIO MAISHA YA KILA SIKU MARA CONTAINERS MARA MAGOROFA BORA SIKU ZIENDE..
NDUGU ZANGU HAYA SASA TUMESHAYAZOEA KILA KITU KINACHUKUA NAFASI YAKE,USISHANGAE KUSKIA NA WATU NAO WANAANZA KUANGUKA KWA NJAA... KAMA UNAVYOONA HAPO GARI LIKIDONDOSHA CONTAINER HII YOTE MAMLAKA ZINAZOHUSIKA KUTOKUTEKELEZA WAJIBU

Wednesday, July 2, 2008
BONGO KILA MTU MBABE.....
JANA WAKATI NARUDI USWAZI MAENEO YA KIGOGO UKIANZA TU KUSHUKA KALE KAMLIMA NIPO KWENYE FOLENI FLAN YA KIZUSHI JAMAA WALA SIJUIA ALIKOTOKEA KAJA KANICHOMEKEA KWA MBELE DUH. NIKAWAHI KUFUNGA BREAK BILA HIVYO INGEKUWA BALAA ILA SHWARI TUKAMALIZANA KIBONGO ILA ROMEO KAUMIA KIMTINDO..
Wednesday, June 25, 2008
BORA VIONDOLEWA...
INGEKUWA NI AMRI YANGU NINGEVIONDOA (VIPANYA)LEO
PICHANI NI AJALI ILIYOTOKEA LEO ASUBUHI MAENEO YA SINZA (MAKABURINI)KATI YA HIECE(KIPANYA)NA COASTER ILIYOKUWA IMEBEBA WANAFUNZI HAKUNA ALIYEJERUHIWA
INGEKUWA NI AMRI YANGU NINGEVIONDOA (VIPANYA)LEO
PICHANI NI AJALI ILIYOTOKEA LEO ASUBUHI MAENEO YA SINZA (MAKABURINI)KATI YA HIECE(KIPANYA)NA COASTER ILIYOKUWA IMEBEBA WANAFUNZI HAKUNA ALIYEJERUHIWA
Saturday, June 21, 2008
MPAKA LINI....MBONA HAKUNA ANAYEJALI?????
TATIZO LA MAJI LINAONEKANA KUWA SUGU KAMA ILAVYOONEKANA KWENE PICHA,PAMOJA NAHAYO YOTE MAMLAKA HUSIKA(DAWASA)WANAONGEZA IDADI YA MAGARI TENA YA KIFAARI
MPAKA LINI MPAKA HAYA YATAPATA UFUMBUZI????????????????????????????
Tuesday, June 10, 2008
UTEMI AU..
BAJAJ ZIMEKUWA NI MSAADA MKUBWA KWA USAFIRI HAPA JIJINI LAKINI MARA NYINGINE ZIMEKUA KERO KAMAINAVYOONEKANA HAPO WAKATI FOLENI INAENDELEA BAJAJ IMEPAKI KATIKATI YA BARABARA
BAJAJ ZIMEKUWA NI MSAADA MKUBWA KWA USAFIRI HAPA JIJINI LAKINI MARA NYINGINE ZIMEKUA KERO KAMAINAVYOONEKANA HAPO WAKATI FOLENI INAENDELEA BAJAJ IMEPAKI KATIKATI YA BARABARA
JE NDIO SULUHISHO...
BARABARA YA MANDELA IPO KATIKA MATENGENEZO KUITANUA PEMBENI,KUWEKA SERVICE ROAD NA PIA KUWEKA MITARO YA MAJI MACHAFU JE HILO LITAKUA SULHISHO LA FOLENI KWA BARABARA HIYO AMBAYO INA IDADI KUBWA YA MAGARI AU NDIO NYONGEZA YA TATIZO

Tuesday, June 3, 2008
NANI KASEMA MELINI HAKUNA AJALI.....
MELINI NAKO KUNA AJALI TENA AJALI MBAYA HEBU ONA HAYA MAKONTENA YALIVYOFINYAGWA HII ILITOKEA NDANI WA MELI KUBWA YA MIZIGO YA MS STEFANIA MAKONTENA YALIHARIBIKA NA KULAZIMIKA KURUDISHWA KAMA YANAVYOONEKANA KWENYE PICHA KATIKA JUHUDI ZA KUYATO MELINI DAR ES SALAAM PORT
ITAKWISHA LINI?????????????
BARABARA YA MANDELA ROAD IPO KWENNYE MATENGENEZO KWA MUDA SASA HAKUNA KINACHOFANYIKA KAMAINAVYOONEKANA KWENYE PICHA NI MUDA IMEKUWA IKIKARABATIWA BILA MABADILIKO YA AINA YEYOTE NINI KIFANYIKE HEBU TUSHAURIANE...
Wednesday, May 28, 2008
KWELI TUTAFIKA???????
JAMANI JAMANI KILA MMOJA AMWAMBIE MWENZIE TUSEME,TUZUNGUMZE TUSIPOSEMA SISI NANI ATATUSEMEA MPAKA LINI HAKUNA KINACHOBADILIKA WALA CHENYE UHAFADHALI BARABARA,USAFIRI,UMEME,MAJI,MAFUTA..CHAKULA NACHO TUNATANGAZIWA KILA KUKICHA KITAPANDA SASA TUTAISHI HIVI MPAKA LINI MBONA HATA HAKUNA KINACHOTIA WALAU MOYO WAKATI TUNA KILA KITU MADINI,MALI ASILI,GAS NA HATA BANDARI INAYOTUINGIZIA MI PESA KIBAO AMBAYO WANAIITA (VIJISENTI)AMKENI JAMANI!!!!!!!!!!!
Tuesday, May 27, 2008
BAADA YA KIMYA CHA MUDA MREFU HATIMAYE WAMEZINDUKA KAMA INAVYOONEKANA HAPO MAFUNDI WAMEANZA KUSHUGHULIKIA TENA NA VIFAAA VIPYA.. (SEHEMU SUGU) YA BARABARA YA BANDARINI( SHIMO LA UDONGO) NGOJA TUONE NINI KITAFANYIKA WASIJE WAKAJAZA (UDONGO).
Sunday, May 25, 2008
Friday, May 23, 2008
Hali inazidi kuwa mbaya Dar es salaam Usafiri nao ni tatizo kubwa huku serikali na mamlaka husika zikiwa kimya tuliwahi kuahidiwa mabasi yaendayo kasi kama (umeme) ila mpaka leo hakuna dalili ya kasi....waathirika wakubwa ni wanafunzi kama wanavyoonekana hapo juu leo asubuhi...
Wednesday, May 21, 2008
Subscribe to:
Posts (Atom)