UPANUZI WA BANDARI YETU YA DAR ES SALAAM Kama inavyoonekana ubomoaji wa nyumba kwa wakazi wa maeneo yanayozunguka Bandari umekuwa wa kusuasua japokuwa tarehe ya mwisho ya kuvunja nyumbazao kwa hiyari ikiwa tayari ishapita SIJUI UPANUZI WA BANDARI UTAANZA LINI....
1 comment:
Nice blog. Thats all.
Post a Comment