Kachomwa mbele ya ofisi ya mkuu wa mkoa..
Mwanaume mmoja kachomwa moto leo asubuhi majira saa moja 7:00 kwa kusadikiwa kuwa ni kibaka eneo la Ilala boma mbele ya ofisi ya Mkuu wa mkoa
Suala la Watanganyika kujichukulia Sheria mikonono kwa watuhumiwa wa Ukibaka limekuwa la kawaida sasa kwa maisha magumu ya kila siku..
Sijui tumlaumu nani... Kibaka aliyeiba/kwapua au..Mtanganyika aliyejichukulia Sheria
1 comment:
da kaka kusema ukweli hii ni noma sana..wewe kwa upande ako unaona hyo ni sawa kweli watu kuchukua sheria mkononi mwao na kumchoma moto?
Post a Comment