INGEKUWA NI AMRI YANGU NINGEVIONDOA (VIPANYA)LEO PICHANI NI AJALI ILIYOTOKEA LEO ASUBUHI MAENEO YA SINZA (MAKABURINI)KATI YA HIECE(KIPANYA)NA COASTER ILIYOKUWA IMEBEBA WANAFUNZI HAKUNA ALIYEJERUHIWA
TATIZO LA MAJI LINAONEKANA KUWA SUGU KAMA ILAVYOONEKANA KWENE PICHA,PAMOJA NAHAYO YOTE MAMLAKA HUSIKA(DAWASA)WANAONGEZA IDADI YA MAGARI TENA YA KIFAARI MPAKA LINI MPAKA HAYA YATAPATA UFUMBUZI????????????????????????????
Tuesday, June 10, 2008
UTEMI AU.. BAJAJ ZIMEKUWA NI MSAADA MKUBWA KWA USAFIRI HAPA JIJINI LAKINI MARA NYINGINE ZIMEKUA KERO KAMAINAVYOONEKANA HAPO WAKATI FOLENI INAENDELEA BAJAJ IMEPAKI KATIKATI YA BARABARA
JE NDIO SULUHISHO... BARABARA YA MANDELA IPO KATIKA MATENGENEZO KUITANUA PEMBENI,KUWEKA SERVICE ROAD NA PIA KUWEKA MITARO YA MAJI MACHAFU JE HILO LITAKUA SULHISHO LA FOLENI KWA BARABARA HIYO AMBAYO INA IDADI KUBWA YA MAGARI AU NDIO NYONGEZA YA TATIZO
MELINI NAKO KUNA AJALI TENA AJALI MBAYA HEBU ONA HAYA MAKONTENA YALIVYOFINYAGWA HII ILITOKEA NDANI WA MELI KUBWA YA MIZIGO YA MS STEFANIA MAKONTENA YALIHARIBIKA NA KULAZIMIKA KURUDISHWA KAMA YANAVYOONEKANA KWENYE PICHA KATIKA JUHUDI ZA KUYATO MELINI DAR ES SALAAM PORT
BARABARA YA MANDELA ROAD IPO KWENNYE MATENGENEZO KWA MUDA SASA HAKUNA KINACHOFANYIKA KAMAINAVYOONEKANA KWENYE PICHA NI MUDA IMEKUWA IKIKARABATIWA BILA MABADILIKO YA AINA YEYOTE NINI KIFANYIKE HEBU TUSHAURIANE...