Kuna kiwango kikubwa cha dawa za kulevya zimekamatwa leo asubuhi zikiwa njiani kuvushwa kupelekwa A.kusini,Mpaka sasa police inawashikilia watu wawili mwanamke na mwanaume kwa kuhusika na tukio hilo
Madawa hayo yalikua yamefichwa ndani ya gari Dogo aina ya Pic Nissan Hard bord ikiwa na nomber za usajili za A.kusini inakadiriwa kati ya kilo 50-80 police wanawashikilia watuhumiwa na wanaendelea na upelelezi zaidi