Monday, June 29, 2009

VURUGU KUBWA KATI YA ASKARI NA WABADILISHA PESA LEO






Kumetokea vurugu kubwa leo kuanza saa 10am baada ya Askari kujaribu kuwatawanya wananchi waliojazana katika kituo cha Police Tunduma Border baada ya mwananchi mmoja kupigwa risasi na askari jana.