Timu ya Tanesco ikiwa mbele kuondoa nyaya/nguzo/transiformer na mali nyingine za Tanesco chini ya ulinzi mkali wa Mbwa
Baadhi ya vitu vilivyo okolewa na wananchi baada wa kuvamiwa ghafla na Askari wa kikosi FFU,Police wa kawaida na Mgambo wa jiji leo Asubuhi
Ulinzi ulikuwa mkali kimno ukihusisha vikosi vya Mbwa kama inavyoonekana
Baadhi ya wananchi wakilalamika kitendo cha kuvamiwa bila ya taarifa...
Hayo ndio baadhi ya matukio yaliyojiri leo asubuhi maeneo ya Kurasini(ZAMCARGO)wakati wa zoezi la kubomoa nyumba kupisha upanuzi wa Bandari ya Dar es salaam