Monday, April 28, 2008
Haya ni maeneo ya Bandarini geti no8 hii sehemu sasa imekuwa kama kidonda ndugu maaana hakuna kinachofanyika wikimoja lililopita palikua hapapitiki paka jazwa udongo sasa mvua zimeanza tena pamekuwa tope hapapitiki mashimo kaka kawaida
Swali sasa hawakujua kama (Udongo+Mvua)= Tope
Friday, April 25, 2008
Ajali ya gari iliyotokea Jana usiku nje ya kiwanda cha mafuta cha (EAST COST)kinachomilikiwa na MOHAMED ENTERPRISES maeneo ya kurasini karibu na geti no 8 la kuingilia Bandarini
Saturday, April 12, 2008
Hali ya mvua inayoendelea jijini imesababisha usumbufu mkubwa kama inavyoonekana maeneo ya tandale kwa mtogole leo alasiri
Friday, April 4, 2008
Nipo na mshikaji wangu sana spencer hapo kang`ng`ania round nimetoka kumzungusha sasa nikaona tupate picha
Subscribe to:
Posts (Atom)