MSWAZI
Thursday, October 25, 2007
Hapa nipo maeneo ya makumbusho naangalia Viatu hii yote ni katika kudumisha Ujasiria mali
Hapa nipo kwenye Big Machine Fantuz Depot nafanya kazi kidogo
Hapa nipo na Afande(Emmanueli) tunafanya ukaguzi Wa mzigo baada ya kutokea ubathirifu
Hapa nipo na mshikaji Wangu Inno kolila (akwiiii)
Newer Posts
Older Posts
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)