Sunday, December 9, 2007

Nipo na washikaji kwenye HArusi Ya mshikaji Huko Belinda Holl kutoka (L)Mapunda na mwisho Ras Jovin
Posted by Picasa

Thursday, November 15, 2007

Dar es salaam inaonekana vizuri sana kwa sasa kama unavyoona kwa mbali jengo la Benk kuu na majengo mengine ukingoni mwa Bahari hindi
Posted by Picasa
Posted by Picasa
Nikiwa na Mr Dollan na mshikaji mwingine muda mfupi baada ya sherehe ya harusi ya Dollan
Posted by Picasa

Thursday, October 25, 2007

Hapa nipo maeneo ya makumbusho naangalia Viatu hii yote ni katika kudumisha Ujasiria mali
Posted by Picasa
Hapa nipo kwenye Big Machine Fantuz Depot nafanya kazi kidogo
Posted by Picasa
Hapa nipo na Afande(Emmanueli) tunafanya ukaguzi Wa mzigo baada ya kutokea ubathirifu
Posted by Picasa

Hapa nipo na mshikaji Wangu Inno kolila (akwiiii)
Posted by Picasa

Tuesday, September 11, 2007


Niko na washkaji tumechoka kishenzi,jua kali kinoma maeneo ya ukonga
Posted by Picasa

Saturday, August 18, 2007

My manager & my friend Mr Fabrizzio Mazon with Turkey guy at the office
Posted by Picasa
At the office doing some works`some times you have to be commited
Posted by Picasa